Yaliyomo
NDANI YA KITABU
- Sheria na wajibu wa mtumiaji wa barabara
- Alama na mawasiliano barabarani
- Uendeshaji salama
- Huduma ya kwanza
- Matengenezo ya msingi ya gari
- Teknolojia na usalama barabarani
Kitabu cha SHEKEMU
Maarifa ya msingi kwa usalama na uwajibikaji barabarani
Mwongozo kuhusu sheria, alama, uendeshaji, huduma ya kwanza, matengenezo ya msingi na teknolojia.
Yaliyomo
Mwandishi
Ana Advanced Diploma in Clinical Medicine kutoka TTCIH Ifakara (2019) na Diploma in Clinical Medicine kutoka Kibaha COTC (2013). Ana uzoefu katika tiba, uongozi wa vituo vya afya, uratibu wa TB/HIV, usimamizi na business development. Mafunzo yake yanajumuisha AI, WHO Emergency Care, PPRA/Public Procurement, Leadership, Professional Driving Training na JKU National Service.