Supplier Hub

Jenga ushirikiano wa biashara na SHEKEMU.

Tunakaribisha wazalishaji, wasambazaji na watoa huduma wenye uwezo, uadilifu na nyaraka zinazotambulika kuwasilisha taarifa zao kupitia njia rasmi.

Nani anaweza kuomba

Wasambazaji wa bidhaa na huduma katika sekta zetu.

  • Stationery na office solutions
  • Cleaning products na vifaa
  • Medical, laboratory na institutional supplies
  • ICT, printing, transport, agriculture na professional services

Maombi yanapitiwa kwa uwezo, ubora, compliance na ulinganifu wa mahitaji. Usajili hauhakikishi oda au mkataba.

Jisajili kama Supplier →